Mbunge Sugu anusurika ajalini, mmoja afariki kwenye ajali hiyo.
imewekwa na admin
muda 2016-12-17 11:52:58
Watazamaji 150
Mbunge Sugu anusurika ajalini, mmoja afariki kwenye ajali hiyo.
Uko hapa : Home > Habari kuu>

Mbunge wa Mbeya mjini ‘CHADEMA’, Joseph Mbilinyi amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Iyunga jijini Mbeya baada ya gari lake kufeli break na kumgonga mtoto  ’15’ ambaye amefariki wakati akipelekwa hospitali.Aidha taarifa hiyo inaeleza kuwa askari polisi wanne wamejeruhiwa baada ya kupata ajali wakati wakielekea kwenye ajali hiyo aliyopata mbunge Joseph Mbilinyi  ‘sugu’

 
Gari hilo lilikuwa  linaendeshwa na dereva wake, Gabriel Andrew (43) ambaye anashikiliwa na polisi.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo