Top 30

Polisi Roboti kuanza kufanya kazi Dubai


Polisi nchini Dubai wamezindua afisa roboti ya kwanza itakayo piga doria katika majumba ya kibiashara na maeneo ya kivutio kwa watalii. Watu wataweza kuripoti uhalifu, kulipa faini na kupata taarifa kwa kugusa kompyuta iliopo kifuani mwa roboti hiyo. Ta

Kutana na Kijana mdogo wa miaka 18 aliyeunda satellite ndogo zaidi nchini India


Kijana mmoja nchini India ameunda kile kinachotajwa kuwa Satellite ndogo zaidi ambayo itawekwa kwenye mzingo wa dunia katika kituo cha shirika la safari za anga za juu la Marekani Nasa mwezi Juni.Kifaa hicho cha Rifath Shaarook cha uzito wa gramu 64, kili

Betri inayojaa chaji kwa dakika tano kuanza kuuzwa karibuni.


Betri za simu za kisasa za Smartphone ambazo zinaweza kujaa chaji katika muda wa dakika tano pekee huenda zikaanza kuuzwa sokoni mwaka ujao.Teknolojia hiyo iliwekwa kwenye maonesho mara ya kwanza mwaka 2015 na kampuni ya Israel ya StoreDot.Kampuni hiyo il

Dunia yakumbwa na uhalifu mkubwa wa kimtandao.


Shambulizi la kihalifu kupitia mitandao yanatendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani.Kuna ripoti za mashambulizi katika mataifa 99 ikiwemo Urusi nchini China. Kati ya

Kutana na Viatu vinavyotumia bluetooth


Sneakerairs ndio viatu vilivyotengenezwa vikiwa na teknolojia ya bluethooth ndani yake, yenye uwezo wa kukuelekeza mahali unapoenda.Viatu hivyo viitwavyo Sneakerais, vina sensor ya umeme ndani yake. Kampuni ya Easy Jey ndio imetengeneza viatu hivyo kwa k

Sumsung yajitosa kwenye uundaji wa magari yanayojiendesha yenyewe.


Ni mwezi mmoja umepita baada ya Kampuni ya Apple kutangaza kuwa watajikita katika utengenezaji wa magari yanayojiendesha yenyewe, tayari mshindani wake kibiashara kampuni ya Samsung nao wamepata kibali cha kutengeneza magari hayo.

Kwa Picha: Treni yenye starehe na ghali yaundwa Japan


Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.

Sidiria inayoweza kugundua saratani ya matiti.


Kijana mmoja nchini Mexico amevumbua sidiria inayoweza kugundua saratani ya matiti.Lakini je sidiria hiyo inafanya kazi? Na iwapo inafanya ,inafanya vipi?.Juliana Rios Cantu mwenye umri wa miaka 18 ametengeza sidiria ambayo anasema itatoa onyo la mapema k

Fanya haya baada ya kununua simu mpya


Mara nyingi tumekuwa tuki-chaji simu mpya kwa muda wa masaa sita huku wengine wakiacha simu kukesha kwenye chaji.Kitaalumu zaidi, yawezekana wanaotuambia huenda hawafahamu vizuri masuala ya Teknologia ya vitu hivyo, hali inayopelekea kuharibu betri ya sim

Tumbo la bandia la kuhifadhia watoto wasiotimiza muda latengenezwa Marekani


Wanasayansi nchini Marekani wamebuni tumbo bandia la kutengeneza ambalo katika siku zijazo linaweza kutumiwa kuwekea watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao, maarufu kama njiti. Kifaa hicho ambacho kipo katika mfumo wa tumbo kimejaribiwa kwa mimba ya kondoo

Gari linaloweza kupaa kama ndege laundwa Uholanzi


Kampuni moja nchini Uholanzi imeunda gari ambalo linaweza kuendeshwa barabarani na pia linaweza kupaa kama ndege. Kampuni hiyo inapanga kuanza kuuzia umma magari hayo mwaka ujao. Magari hayo yanagharimu takriban $400,000 kwa sasa.

Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia


Asteroidi kubwa ambayo inakadiriwa kuwa na ukubwa karibu sawa na wa wa Jiwe la Gibraltar imepita salama karibu an Dunia.Asteroidi hiyo ambayo inakadiriwa kuwa na kipenyo cha karibu kilomita moja, ilipita karibu na dunia umbali wa mara tano hivi umbali kat

Wanasayansi wanasa picha ya nyota zilizogongana


Wanasayansi wamerekodi picha za kusisimua zinazoonyesha nyota mbili changa zikigongana na kuharibu mpangilio wao.Nyota hizo ambazo ziko kwenye mkusanyiko wa Orion ziligongana miaka 500 iliyopita na kusababisha vumbi na gesi nyingi kuingia kwenye anga yao.

Unyevu wagunduliwa na wanasayansi katika sayari ilio sawa na dunia.


Wanasayansi wanasema kwa mara ya kwanza wamegundua kuna unyevu unaoizunguka sayari ilio kama dunia. Wameichunguza sayari hii inayotambulika kama GJ 1132b ambayo ukubwa wake ni zaidi ya dunia kwa mara 1.4 na iko umbali wa miaka 39 ya kasi ya muanga. Uchu

Facebook nayo yaja na mtindo ulioipandisha chat Snapchat


Baada ya Instagram kuanzisha Insta Stories, mtindo ulioipandisha chat Snapchat, Facebook nayo imekuja na mtindo huo kwenye app yake.Kupitia app ya Facebook, sasa unaweza kushare matukio/stories na kuona kile marafiki zako wamekifanya kwa saa 24. Juu ya Fa

Uko hapa : Home -> top 30 videos
Bookmark and Share
deSiGned by sundo