Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya January 16


Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya January 16

Matokeo ya Kidato cha Pili Yatangazwa St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege Zaongoza.


Baraza la Mitihani nchini – NECTA limetoa matokeo ya mitihani ya upimaji kwa wanafunzi wa darasa la nne kwa shule zote za msingi nchini pamoja na ule wa kidato cha pili kwa wanafunzi wa shule za sekondari yanayoonesha ufaulu kuongezeka kwa 1.9%. Katibu

Zitto Kabwe: Watanzania wakifa njaa tutamwajibisha Rais kwa mujibu wa Katiba ibara ya 46A.


Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema endapo Mtanzania yeyote atakufa kwa njaa watachukua jukumu la kumwajibisha Rais kwa kusema waziwazi kwamba hajatimiza wajibu wake. Akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Kijichi jana, kiongozi wa chama c

JE WAJUA? Mabilionea 8 wanamiliki mali sawa na nusu ya watu duniani.


Orodha ya mabilionea ya Forbes, Machi 2016 Takwimu za shirika hilo, ambazo zimepingwa na baadhi ya wakosoaji, zinatokana na maelezo na habari za kina zilizokusanywa na shirika hilo, na zinaonesha pengo kati ya matajiri na maskini ni kubwa “kuliko ilivy

JE WAJUA / KUMBU KUMBU

Laptop iliyo na skrini tatu yazinduliwa.


Kampuni inayotayarisha michezo ya kompyuta ya Razer imezindua kipakatalishi (kompyuta ya kupakata/laptop) mpya ambayo ina skrini tatu wenye maonyesho ya teknolojia mpya mjini Las Vegas.Kampuni hiyo imesema laptop hiyo ambayo imeundwa kupitia mradi uliopew

TEKNOLOJIA

Wabunge wa Democratic hawatahudhuria kuapishwa kwa Trump


Wabunge kadhaa wa kiume na wa kike wa chama cha Democratic nchini Marekani wamesema kuwa hawataudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Donald Trump, Ijumaa hii. Hii ni baada ya Trump kumkosoa John Lewis, mbunge na mtetezi maarufu, mwenye sifa tele wa haki

Mtoto aliyeibwa apatikana hai miaka 18 baadaye


Mtoto mchanga aliyeibwa katika hospitali moja ya jimbo la Florida nchini Marekani, amepatikana akiwa hai baada ya miaka 18 katika jimbo la South Carolina. Kamiyah Mobley ,aliibwa kutoka kwa mamake akiwa na umri wa saa 8 pekee. Mwanamke aliyejifanya kuwa

ZA KIMATAIFA
MP3 DOWNLOAD

Mtanzania Alphonce Simbu ashinda mashindano makubwa ya Marathon nchini India.


Mtanzania Alphonce Simbu, amefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye mbio ndefu za Mumbai Marathon ya mwaka huu huku akiwapiku Mkenya Joshua Kipkorir pamoja na wakimbiaji wengine wazoefu kutoka mabara mbalimbali. Mashindano hayo yajulikana

Azam Fc Yatwaa Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2017 Kwa Kuitandika Simba 1-0


Shuti la 'mwendokasi' la umbali usiopungua mita 25 la kiungo Himid Mao limetosha kuamua matokeo ya mchezo wa Fainali ya Mapinduzi uliofanyika mjni Zanzibar.Miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliichapa Simba bao 1-0 na kutosha kutangazwa mabingwa wapya

MICHEZO
ANGALIA/ DOWNLOAD VIDEO
HABARI KUU
HABARI ZA MASTAA
deSiGned by sundo