Orodha ya Fifa: Argentina bado yaongoza Tanzania ya panda

Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA.

Tanzania imesogea kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, taarifa hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

Katika orodha ya dunia Argentina bado inasalia katika nafasi ya kwanza.
Orodha ya mataifa ya Afrika duniani
Senegal (33)
Ivory Coast (34)
Tunisia (35)
Egypt (36)
Algeria (38)
DR Congo(48)
Burkina Faso (50)
Nigeria (51) (hakufuzu Gabon 2017)
Ghana (53)
Morocco (57)

Unasemaje kuhusu hii?

Mayunijames alisema, tarehe 2015-10-02 02:03:29:
Wimbo huu nimzuri sana, kiukweli napenda sana sauti ya barnaba

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
imewekwa na Kibonde
muda 2016-12-24 05:08:04
Watazamaji 49
Orodha ya Fifa: Argentina bado yaongoza Tanzania ya panda
Uko hapa : Home > michezo>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo