Angel Di Maria kwenda China mwezi huu

Mchezaji Angel Di Maria ambaye ni mshambuliaji wa pembeni wa klabu ya soka ya PSG pamekuwa na taarifa akihusishwa na kwenda kujiunga na klabu za kule nchini China.Jambo hili linatarajiwa kufanywa wakati wa uhamisho wa mwezi huu. Klabu za China zimejiandaa kufanya usajli wa wachezaji wenye majina makubwa ulimwenguni na baadhi yao tayari wapo kule.

Unasemaje kuhusu hii?

Elia alisema, tarehe 2015-10-12 01:42:08:
UKAWA JUUUU

LOWASSA MKALIII..........

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
imewekwa na admin
muda 2017-01-03 02:36:14
Watazamaji 80
Angel Di Maria kwenda China mwezi huu
Uko hapa : Home > michezo>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo