Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili Oscar tayari ametua nchini China na kujiunga na klabu yake mpya ya Shanghai SIPGt.

Klabu hiyo ambayo imemnunua kutoka klabu ya Chelsea kwa dau la paundi million 52, atakuwa akilamba paundi 400,000 kwa wiki amepata mapokezi ma kubwa huku China angali picha hapa chini.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-03 11:08:51
Watazamaji 86
Picha: Mapokezi aliyopata Oscar alivyo tua China.
Uko hapa : Home > michezo>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo