Ronaldo awapiga kumo messi,Griezmann na kubeba tuzo za mwanasoka bora wa dunia wa fifa
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa dunia wa tuzo za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
 
Tuzo hizo zimefanyika jijini Zurich nchini Uswiss na Ronaldo ,31, amebeba tuzo hiyo huku akiwashinda mshambuliaji wa Barcelona na mpinzani wake mkubwa Lionel Messi na yule wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.mwishoni mea mwaka jana yaani 2016, Ronaldo aliwashinda Messi na Griezmann na kubeba tuzo ya Ballon d’Or.
 
Ronaldo aliisaidia Real Madrid kubeba ubingwa wa Ulaya lakini akaisaidia Ureno kubeba ubingwa wa Ulaya kwenye euro 2016 nchini Ufaransa.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-10 01:16:47
Watazamaji 60
Ronaldo awapiga kumo messi,Griezmann na kubeba tuzo za mwanasoka bora wa dunia wa fifa
Uko hapa : Home > michezo>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo