CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 kutoka uwanjani

Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani

Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2014 nchini Gabon.Katika nchi za Afrika Mashariki na CECAFA kwa ujumla,Uganda ndio atakuwa muwakilishi.

Kila la heri #MilladyAyo

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-12 04:13:53
Watazamaji 157
CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 kutoka uwanjani
Uko hapa : Home > michezo>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo