ANGALIA/DOWNLOAD VIDEO
MP3 DOWNLOAD
MICHEZO
HABARI ZA MASTAA

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani Machi 26


Siku kama ya leo miaka 65 iliyopita, yalianza mapambano ya Mau-Mau yakiongozwa na Mzee Jomo Kenyatta, mwasisi wa nchi huru ya Kenya, dhidi ya wakoloni wa Kiingereza. Katika kipindi cha vita viwili vikubwa vya dunia, Kenya ilikumbwa na machafuko na vurugu

JE WAJUA?/KUMBUKUMBU

Facebook nayo yaja na mtindo ulioipandisha chat Snapchat


Baada ya Instagram kuanzisha Insta Stories, mtindo ulioipandisha chat Snapchat, Facebook nayo imekuja na mtindo huo kwenye app yake.Kupitia app ya Facebook, sasa unaweza kushare matukio/stories na kuona kile marafiki zako wamekifanya kwa saa 24. Juu ya Fa

TEKNOLOJIA

Jionee picha za treni za abiria zinavyopita ndani ya maghorofa waishio watu huko china.


Kwa wakazi wa mji mmoja huko China, usafiri wa treni unapatikana barazani kwao, tena ghorofani.Katika mji wa Chongqing nchini humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi wapangaji.Chongqing, mji uliopo kusini mashariki mwa China, umefu

HABARI ZA KIMATAIFA

Nay wa Mitego aalikwa Ikulu na Rais Magufuli Ijumaa hii


Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameitwa Ikulu kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli.Nay amepata mwaliko huo ikiwa ni sasa chache baada ya kuachiwa huru na Jeshi la Polisi lililokuwa likimshikilia tangu Jumapili.Akiongea Jumanne

Lipumba amvua rasmi Maalim Seif Ukatibu Mkuu wa CUF


Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya. Tamko hilo limetolewa na mwenyekiti wa CUF anayeungwa mkono na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba ambapo amesema hatu

HABARI KUU

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 29


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 29

(4.74MB)Download Wagosi Wakaya - DEREVA.mp3
Posted on Tuesday March 28, 2017

Download Wagosi Wakaya - DEREVA.mp3

(3.05MB)Download S msafi fEAT Jack Designer- CHUNGA.mp3
Posted on Monday March 27, 2017

Download Nyimbo mpya na kali kutoka kwa S msafi fEAT Jack Designer ngoma inakwenda kwa jina la CHUNGA

(2.77MB)Download Millian - USINIRUDIE.mp3
Posted on Monday March 27, 2017

Download nyimbo mpya ya Millian - USINIRUDIE.mp3

(3.77MB)Download Weusi - MADARAKA YA KULEVYA.mp3
Posted on Monday March 27, 2017

Download Nyimbo mpya ya Weusi - MADARAKA YA KULEVYA.mp3

(OFFICIAL VIDEO)Nuh Mziwanda - ANAMEREMETA.mp4
Posted on Wednesday March 29, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa Nuh Mziwanda - ANAMEREMETA.mp4

(OFFICIAL VIDEO)Lady JayDee fEAT H_art the band - ROSELLA.mp4
Posted on Friday March 24, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa Lady JayDee fEAT H_art the band kutoka kenya - ROSELLA.mp4

(OFFICIAL VIDEO)Becka title - PUNGUZA UCHOYO.mp4
Posted on Monday March 20, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa Becka title - PUNGUZA UCHOYO.mp4

Barnaba alizwa na wezi, aomba walau wamrudishie passport yake


Usiku wa kuamkia leo Barnaba ameibiwa begi lake lililokuwa ndani ya gari lake likiwa na vitu vya thamani ambavyo ni pamoja na baadhi ya kazi zake ambazo hazijatoka zilizokuwa kwenye hard disc, kamera na laptop mbili.Barnaba amepost ujumbe Instagram kuwaom

Lionel Messi afungiwa mechi nne na FIFA


Shirikisho la soka duniani FIFA March 28, limetangaza kumfungia mechi 4, nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania, Lionel Messi kwa kosa la kutoa maneno machafu kwa mwamuzi katika mchezo dhidi ya Chile,Machi 24.Messi alip

deSiGned by sundo