Jionee ubebaji wa kompyuta wa miaka ya 1950

Teknolojia inazidi kukua na katika ukuaji wake basi vitu vilivyokuwaga ni vikubwa vinazidi kuwa vidogo lakini wakati huo huo ndio vinaweza kufanya mambo mengi zaidi. Kompyuta za miaka  ya 1950 zilikuwa kwa kazi za kimahesabu zaidi na wala si kwa ajili ya kusikilizia muziki, kutazama filamu, Wakatiiku hizi mtu mmoja anaweza akawa na kompyuta za aina mbalimbali kwa wakati mmoja – yaani simu ya mkononi, tableti, laptop, smart watch na vingine vingi kwa wakati mmoja wakati wa miaka ya 1950 iliitajika nguvu ya watu kadhaa kubeba kompyuta mojaTazama picha hii ya miaka ya 1950 huko nchini Marekani pale kompyuta mpya ilipokuwa inafikishwa kwa mnunuaji wake..kama hamjala ugali hamfikishi kokote!

imewekwa na admin
muda 2015-09-13 10:09:33
Watazamaji 987
Jionee ubebaji wa kompyuta wa miaka ya 1950
Uko hapa : Home > teknolojia>
Bookmark and Share
deSiGned by sundo