Top 30

Sitofahamu yagubika mapambano ya polisi, wananchi wilayani Kibiti
Posted on Sunday April 23, 2017

Hali ya maisha kwa wakazi wa Jaribu wilayani Kibiti imeendelea kuwa ya hofu, baada ya jana polisi kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi, huku mmoja akijeruhiwaWatu walioshuhudia tukio hilo wamesema lilitokea jana mchana baada ya

Mwanamke anayefundisha akiwa kitandani kwa miaka 18
Posted on Sunday April 23, 2017

Unapolalamika maisha magumu unatumia vigezo vipi? Soma simulizi hii ya Joyce Kantande kutoka kitandani. Wangapi hulalamika kuwa akilala muda mrefu anajisikia kuchoka au kuumwa? Umeshawahi kufikiria ugumu wa kulala kitandani kwa muda wa siku tatu mfululizo

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 23
Posted on Sunday April 23, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 23

Mwakyembe Amtuhumu Joshua Nassari Kuingia na Chupa ya Konyagi Bungeni
Posted on Friday April 21, 2017

Iikiwa imepita miaka tisa tangu alipojiuzulu aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne, Edward Lowasa, mzimu wake umeendelea kumtesa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge kuhusu suala la Richmond. Hatua

Hakuna ndoa ya muda maalumu : Rita
Posted on Friday April 21, 2017

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), umesema hakuna ndoa ya muda maalumu, ndoa ya jinsia moja wala ya mkataba kwa kuwa ndoa ni muungano wa hiyari kati ya mwanamume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa maisha yao yote. Ofisa Usajili, Kitengo cha

Profesa Lipumba apanda mahakamani
Posted on Friday April 21, 2017

Mgororo wa ruzuku ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unazidi kupamba moto baada ya mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kwenda kuitetea mahakamani. Profesa Lipumba na Mkurugenzi wa Fedh

Yaliyomo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya April 21
Posted on Thursday April 20, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya April 21

Mtu mrefu bado hajapata matibabu hadi sasa
Posted on Thursday April 20, 2017

Baraka Elias, mtu mwenye urefu wa futi 7.4 aliyeahidiwa kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu Januari 22 baada ya kupewa rufaa na Taasisi ya Mifupa (Moi), hadi sasa hajui hatima yake kutokana na ukimya wa Wizara ya Wizara ya Afya.Elias, anayesumbuliwa na mat

Nabii Afrika Kusini amtabiria ugonjwa mbaya kiongozi wa upinzani nchini
Posted on Thursday April 20, 2017

Kiongozi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, Nabii Shepher Bushiri amemtabiria ugonjwa hatari kiongozi wa upinzani wa Tanzania, akisema maombi pekee na imani yake ndio vitamnusuru asitokewe na “kitu kibaya”.Nabii Bushi

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 20
Posted on Thursday April 20, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 20

Mtu mmoja afariki dunia na wengine 27 wajeruhiwa katika ajali ya treni na daladala jijini Dar
Posted on Wednesday April 19, 2017

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la abiria/daladala (T 435 DGG) kutoka Gongo la Mboto kwenda Mnazi Mmoja kuigonga treni ya Pugu leo Aprili 19, 2017 saa 11 alfajiri katika makutano ya reli na barabara ya Nkurumah jijini Dar es Salaa

Yaliyomo Katika Magazeti ya leo Jumatano ya April 19
Posted on Wednesday April 19, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya leo Jumatano ya April 19

Askari mzalendo wa JWTZ auawa kwa kuchomwa visu akipambana na vibaka
Posted on Tuesday April 18, 2017

ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), MT 94293, aliyefahamika kwa jina la Tekeli Israel (29), ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na watu wanaodaiwa kuwa ni vibaka. Akithibitisha kuuawa kwa askari huyo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Char

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 18
Posted on Tuesday April 18, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 18

Jinsi mabilioni ya chanjo yalivyoliwa nchini
Posted on Monday April 17, 2017

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2015/16 imebaini ufisadi wa mabilioni ya fedha katika mradi wa chanjo ya Surua Rubella na ameshauri kufanyika uchunguzi wa kijinai na waliohusika warejeshe fedha hizo.Kwa m

Nchemba : Hatutavumilia mtu anayeshika panga kwa kisingizio cha imani
Posted on Monday April 17, 2017

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema Serikali haitamvumilia mtu yeyote atakayetumia kisingizio cha kuwa na imani iliyopitiliza kuwashikia wenzake panga ili kuwalazimisha wahamie katika imani yake. Amesema mtu wa aina hiyo atachukuliw

Rais Magufuli aitaka TCU kuwaacha wanafunzi kujichagulia vyuo wanavyovitaka
Posted on Monday April 17, 2017

Rais John Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo wanafunzi wa elimu ya juu na kuwaacha wanafunzi hao kuchagua vyuo wanavyovitaka wenyewe. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Rais Magufuli alipokuwa akizindu

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 17
Posted on Monday April 17, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 17

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 16
Posted on Sunday April 16, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 16

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 15
Posted on Saturday April 15, 2017

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 15

Majambazi wanne walioua askari 8 Kibiti wauawa
Posted on Friday April 14, 2017

Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewaua majambazi wanne ambao walikuwa ni sehemu ya kundi la majambazi lililowashambulia na kuwaua askari 8 wilayani Kibiti mkoani Pwana jana usiku. Akiongea na waandishi wa habari Ijumaa hii, Kamishna wa Oparesheni na

Polisi saba wauawa kwa kushambuliwa na risasi kibiti mkoa wa pwani
Posted on Friday April 14, 2017

Polisi saba waliokuwa doria katika Kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kuuawa usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika.Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo,

Uko hapa : Home -> habari kuu
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo