Top 30

Rais Mugabe asherehekea kutimiza miaka 93


Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, kiongozi wa taifa mwenye umri wa juu zaidi duniani kwa sasa, ametimiza miaka 93.Kiongozi huyo anatarajiwa kujumuika kwa sherehe ya faradha na jamaa, wafanyakazi wake wa karibu na baadhi ya maafisa wakuu serikali.Sherehe ku

Kaka Wa Kiongozi Wa Korea Kaskazini Auawa Nchini Malaysia


Kaka wa kambo wa Kiongozi Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameuawa nchini Malaysia huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana. Kaka huyo wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Nam inasemekana muda wake mwingi alikuwa akiutumia nje ya nchi yake n

Mshauri wa Donald Trump kuhusu usalama ajiuzulu


Mshauri mkuu wa ikulu ya White House kuhusu usalama wa taifa Michael Flynn amejiuzulu kuhusiana na uhusiano wake na maafisa wa Urusi, vyombo vya habari Marekani vinaripoti.Bw Flynn anadaiwa kujadili vikwazo vya Marekani dhidi ya Urusi akiwa na balozi wa U

Viongozi wa madaktari Kenya wafungwa jela.


Mahakama ya masuala ya wafanyakazi nchini Kenya imewahukumu viongozi saba wa chama cha wahudumu wa afya (KMPDU) kufungwa jela mwezi mmoja kwa kukaidi agizo la kumaliza mgomo ambao umedumu kwa zaidi ya miezi miwili.Jaji Hellen Wasilwa amesema viongozi hao

Machafuko yaendelea kutikisa Paris baada ya polisi kumdhalilisha Mwafrika


Ghasia na machafuko yameendelea kuukumba mji mkuu wa Ufaransa, Paris kwa siku kadhaa baada ya kuenea ripoti kuwa maafisa wa polisi ya nchi hiyo wamempiga vibaya na baadaye kumnajisi kwa kijiti mwanaume mwenye asili ya Afrika katika viunga vya mji wa Paris

Rufaa ya Trump kurudisha marufuku ya waislamu kuingia US yashindwa.


Mahakama ya rufaa nchini Marekani imelikataa jaribio la Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kurejesha amri yake ya kuzuia wageni kutoka nchi saba za kiislamu kuingia nchini humo.Mahakama hiyo imesema haitoweza kuzuia agizo lilitolewa na mahakama ya chini yake

Mzee wa miaka 83 akutwa amekufa pembeni ya kaburi la mke wake


Mzee mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka 83 amekutwa amekufa pembezoni ya kaburi la mke wake baada ya kujipiga risasi ya kichwa katika makaburi ya St. John yaliyopo katika kijiji cha Middle jijini New York, Marekani.Mzee huyo ambaye alitambulika kwa jina l

Zuma aamrisha vikosi vya jeshi kulinda Bunge


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameamrisha vikosi vya kijeshi vipatavyo 440, kutoa usalama katika majengo ya Bunge, wakati atakapokuwa akilihutubia taifa leo Alhamisi.Vyama vya upinzani vimelaani hatua hiyo na kusema hiyo ni "kutangaza vita".Hotuba za h

Ziara ya matibabu ya rais Buhari yawatia wasiwasi raia Nigeria


Kushindwa kwa rais Buhari wa Nigeria kubaini muda anaotaka kuongezewa ili kuendelea na likizo yake ya matibabu mjini London inawatia wasiwasi raia wa taifa hilo. Kumekuwa na uvumi kuhusu afya ya rais huyo tangu alipoondoka nchini humo wiki mbili zilizopi

Iran yawaruhusu wamarekani kuingia nchini mwake


Iran imetangaza kukubalia kikosi cha wanamieleka wa Marekani kushiriki mashindano ya dunia, yatakayofanyika nchini humo baadaye mwezi huu.Awali Iran walisema kuwa wamarekani hawatakubaliwa kushiriki mashindano hayo.Walinyimwa visa, baada ya Iran kusema kw

Mahakama Marekani yatupilia mbali rufaa ya Trump.


Mahakama ya rufaa nchini Mareni imekataa ombi kutoka kwa idara ya haki nchini humo la kutaka kurejeshwa amri ya Trump ya kupiga marufuku wasafiri kutoka nchi saba zenye waislamu wengi kuingia Marekani.Serikali ilikuwa imeitaka mahakama kurejesha amri hiyo

Trump akata rufaa kupinga amri ya mahakama kuruhusu waislamu.


Utawala nchini Marekani umewasilisha rufaa ya kutaka kurejeshwa kwa amri ya Rais Donald Trump ya kuwazuia raia wa mataifa saba ya waislamu kusafiri hadi Marekani, baada ya mahakama kuipinga hapo awali. Tangazo hilo linafuatia misururu kadhaa ya tweeter k

Iran kulipiza kisasi dhidi ya vikwazo vipya vya Marekani


Iran imeshutumu vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani na kuahidi kuchukua hatua za kulipiza kisasi.Serikali ya Washington inasema kuwa hatua hiyo imechukuliwa kufuatia jaribio la kombora lililofanywa Jumapili, ambalo Marekani imesema ni hatua ya Iran ya

Raia wa mataifa 7 ya Waislamu waliozuiwa sasa kuingia Marekani


Jaji mmoja wa Marekani amesimamisha kwa muda utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kuwazuia raia kutoka mataifa saba, yaliyo na raia wengi wa imani ya Kiislamu kuingia nchini Marekani.Jaji wa Seattle alipuuzilia mbali sababu zilizotolewa na mawakili

Aiba vipande vya dhahabu na kuvificha kwenye njia ya haja kubwa.


Mfanyikazi wa zamani wa kampuni ya Royal Mint nchini Canada amepewa hukumu ya miezi 30 jela kwa kuiba sarafu za dhahabu na kuzificha katika tupu yake ya nyuma.Leston Lawrence alidaiwa kuiba dola 127,116 za vipande 22 vya dhahabu. Jamaa huyo mwenye umri w

Picha: Obama na mkewe wakila raha mapumzikoni na bilionea Richard Branson


Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanaendelea na mapumziko yao huko British Virgin Islands, na Jumanne hii waliungana na mwenyeji wao, bilionea wa Uingereza, Richard Branson.

Uko hapa : Home -> habari kuu
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo