Top 30

Nitaenda Uganda kwa ajili ya mazishi ya Ivan – Diamond


Diamond athibitisha kuwa atahudhuria katika mazishi ya Ivan Ssemwanga ambaye alikuwa mzazi mwenzake na Zari The Bosslady.Muimbaji huyo amesema hayo mbele ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Nairobi, katika kipindi cha The Trend kilichokuwa kinaruka moja kwa mo

Mfanyabiashara Ivan kuzikwa Jumanne hii Uganda


Mwili wa mfanyabiashara Ivan Don Ssemwanga ambaye ni mzazi mwenza na mama watoto wa Diamond, Zari the Bosslady aliyefariki Alhamisi hii nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa utasafirishwa Jumapili hii kwenda nyumbani kwao Uganda kwaajili ya mazishi kwa

Diamond atajwa kuwa kinara wa ushirikina kwenye muziki


Aliyekuwa meneja wa zamani wa Diamond, Rich Mavoko, Nay wa Mitego pamoja na wasanii wengine, Meneja Maneno, amefunguka kwa kutaja majina ya baadhi ya wasanii anaodai wanaamini ushirikina huku akikiri kuna wasanii wengine ambao yeye mwenyewe aliwapeleka kw

Undani wa Kifo Cha Mume wa Zari Nyuma ya Pazia


Kifo cha aliyekuwa mume wa staa wa Uganda na Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Tycoon Ivan Semwanga ‘The Don’, raia wa Uganda, mwenye maskani yake Johannesburg na Pretoria, Afrika Kusini, kimeibua simulizi nzito nyuma ya pazia

Malaika afunguka kuhusu sakata la kushiriki mapenzi ya jinsia moja


Msanii wa muziki, Malaika aka Queen Malaika, amefunguka kuzungumzia kashfa nzito iliyokuwa ikizungumzwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa aliwekwa kinyumba Marekani na mwanamke mwenzake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Zogo’ alifanya tou

Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute – Mzee Yusuph


Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi.

Mzazi mwenzake na Zari afariki dunia


Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo. Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa ho

Waandaaji MISS TZ kufikishwa Mahakamani.


Kurugenzi ya Sheria ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP imekusudia kuwasilisha kwa kampuni inayoandaa MISS TZ notisi ya madai na kusudio la kuwafikisha Mahakamani kama watashindwa kuwalipa washindi wa MISS TZ 2016. Hatua hiyo inakuja baada ya Kurugenzi

Yamoto Bendi Yavunjika Rasmi,Kila Mmoja Sasa Kivyake


FELLA NAYE HUYU HAPA Fella ambaye ndiye Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambayo chini yake ipo Yamoto anaweka wazi kugawanyika kwa bendi hiyo kwamba ameamua kila mmoja awe kivyake. “Tumeruhusu kila mmoja afanye kazi yake, hata wewe mwandishi ukitaka mmo

Tunamtafuta Ben Pol atueleze kuhusu zile picha za nusu utupu : BASATA


Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mngereza amelaani picha za nusu za utupu za msanii wa muziki, Ben Pol ambazo imezua tafrani kubwa kwenye mitandao ya kijamii.Akiongea Jumatatu hii, Mngereza amewataka wasanii kufanya kazi nzuri

Gigy Money ampasukia Albert Msando baada ya kudai yeye ndiye aliyesambaza video.


Baada ya Mwanasheria Albert Msando kuomba msamaha kufuatia video yake na mwanadada Gigy Money iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanadada huyo ameibuka na kusema kwamba hakuwa akimfahamu Msando na pia ndiye aliyesambaza video ile. Gigy Money amesem

Albert Msando aomba radhi baada ya video yake chafu na Gigy Money kusambaa mitandaoni


Mwanasheria Albert Msando amewaomba radhi ndugu, jamaa pamoja na mashabiki baada ya kusambaa kwa video yake mtandaoni inayomuonyesha akishikana na video queen, Gigy Money.Msando amesema anawaomba msamaha wote aliowakwaza, wote walio kereka na video hiyo a

Dogo Janja : "Ben Pol alikosa nguo ya kuvaa katika picha hiyo ndio maana akaamua kukaa uchi".


Wiki hii picha ya Ben Pol aliyopiga ikimuonyesha akiwa mtupu imeonekana kuteka hisia za watu wengi mitandaoni.Picha hiyo ambayo alipost katika mtandao wake wa Instagram, imemsababishia kushushiwa mvua kubwa ya matusi kutoka kwa mashabiki lakini, msanii Do

Fid Q afunguka ishu ya Ben Pol na picha za 'utupu'


Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop Fid Q ambaye anadaiwa kuwa mshauri mkuu wa Ben Pol katika shughuli za muziki amefunguka kuzungumzia ishu ya muimbaji huyo kupiga picha za utupu na kusambaza mtandaoni.Mapema leo mkali huyo wa wimbo 'Phone', kupitia mtan

Picha ya nusu uchi ya 'Ben Pol' yachafua hali ya hewa mtandaoni


Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amejikuta akizua minong'ono kwa mashabiki wake na watanzania kiujumla baada ya kuposti picha akiwa nusu utupu kwenye ukurasa wake wa Instagram.Kwenye picha hiyo Ben Pol hakuweka maneno yoyote yale lakini alionekana amefungwa

Hiki ndicho kilichochukua uhai wa msanii Dogo mfaume.


Kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Mfaume Selemani maarufu kama Dogo Mfaume, kimekuja ikiwa ni siku chache tangu Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla kutoa msaada kwa ajili ya matibabu ya

Uko hapa : Home -> habari za mastaa
Bookmark and Share
deSiGned by sundo