Top 30

Je wajua njia mbalimbali zilizotumiwa kuua wapinzani duniani?


Hakuna jambo jipya kuhusu mauaji ya mtu maarufu.Ni miongoni mwa njia zilizotumika kuwaondoa ulimwenguni watu waliokuwa na uwezo mwingi am watu hatari.Lakini wauaji wengine walitumia njia za moja kwa moja kwa mfano Julius Caesar alidungwa kisu hadi kufa hu

yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani Februari 11.


Siku kama ya leo miaka 27 iliyopita, Mzee Nelson Mandela kiongozi wa harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini aliachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa kipindi cha miaka 27. Mandela alikamatwa mwaka 1963 na kuhukumiwa kifungo cha mai

Je ushawahi ona picha za gari la ajabu zaidi duniani!?


Hili ndilo gari refu kuliko yote duniani kama hujui na lilitengenezwa na Jay Ohrberg wa Burbank,California,huko Marekani.Gari hili linasehemu kubwa ndani ya kuweza kuwastarehesha watu 20 vilevile swimming pool,jakuzi,uwanja wa kutua helkopta vilevile gar

Leo katika historia:Eneo lenye baridi sana duniani lagunduliwa!


Miaka 81 iliyopita mwafaka na tarehe 6 mwezi Februari mwaka 1936 eneo lenye baridi zaidi duniani lilitambuliwa na jopo moja la kielimu baada ya kufanya juhudi za miaka minne na hatimaye kugundua eneo hilo. Kundi hilo la wataalamu hatimaye liligundua kuwa,

Je wajua picha za vijiji 15 vyenye mvuto zaidi duniani?


Tumezoea kuona miji mikubwa ikiwa na muonekano mzuri na ya kuvutia, lakini unaambiwa kuna vijiji pia duniani ni vizuri kwa muonekano, leo nimekutana na hii list ya vijiji 15 ambavyo vinavutia zaidi duniani.

Je wajua ?.. Faru Fausta ndiye faru mzee zaidi duniani kwa sasa apatikanaye Ngorongoro?


Ndio faru mzee duniani,sasa haoni Ngorongoro yampa ulinzi wa kijeshi FARU Fausta ndio anayesadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko Faru wote duniani,mwaka huu amefikisha umri wa miaka 54.Faru Fausta yupo katika mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,lakini kutokan

Leo katika historia:dawa ya kwanza ya kutuliza maumivu ya aspirini yatengenezwa na Felix Hoffmann.


Katika siku kama ya leo miaka 117 iliyopita mfamasia wa Kijerumani Felix Hoffmann alitengeneza dawa ya kwanza ya kutuliza maumivu. Dawa hiyo hii leo inajulikana kwa jina la Aspirin. Waingereza pia waliamua kutengeneza dawa hiyo katika kipindi cha Vita vya

JE WAJUA sababu kwanini wanaume huumia zaidi wanaposalitiwa kimapenzi.?


Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito. Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti

Je wajua madhara ya kuchanganya pombe na dawa aina ya Metronidazole (Flagyl)?


Na hutolewa ikiwa katika mfumo wa vidonge vya kumeza au vidonge maalumu ambavyo huwekwe kwenye uke (vaginal suppository) na wakati mwingine hupatikana kama krimu ya kujipaka kwenye ngozi (topical cream) Kutumia/ kunywa pombe wakati unatumia dozi ya metro

JE WAJUA.. Ukweli Uliojificha Juu ya Samaki Nguva Anayefananishwa na Binadamu..!!!


Mnyama aina ya Nguva ambaye watu wamekuwa wakimwelezea kwa namna tofauti tofauti na endapo mazingira ya bahari yataendelea kuchafuka kuna uwezekano wa kiumbe hicho kutoweka.

JE WAJUA? Mabilionea 8 wanamiliki mali sawa na nusu ya watu duniani.


Orodha ya mabilionea ya Forbes, Machi 2016 Takwimu za shirika hilo, ambazo zimepingwa na baadhi ya wakosoaji, zinatokana na maelezo na habari za kina zilizokusanywa na shirika hilo, na zinaonesha pengo kati ya matajiri na maskini ni kubwa “kuliko ilivy

JE WAJUA..Mambo ambayo utakiwi kumfanyia mpenzi wako, ili uokoe penzi lenu


Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19

JE WAJUA?..Hatua 10 za Kumchagua Mchumba


Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.

je wajua? Vitu vya kushangaza vilivyopewa jina la Barack Obama.


Rais Barack Obama anapojiandaa kustaafu nchini Marekani wiki ijayo, kuna vitu vya kawaida kama vile maktaba, barabara na shule ambavyo vimepewa jina lake kama heshima kwake. Kutakuwa na Maktaba ya Rais Barack Obama mjini Chicago. Aidha, kuna shule nyingi

JE WAJUA??..Njia za kuwakomesha majambazi.


Dar es Salaam. Matukio ya watu kuvamiwa na majambazi na kuporwa fedha yamekuwa yakiripotiwa kila kukicha. Idadi kubwa ya wananchi wamekuwa wakivamiwa na kuporwa fedha. Katika matukio hayo wapo ambao wameuawa, kujeruhiwa na wengine kupata ulemavu wa maish

Uko hapa : Home -> je wajua?
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo