Top 30

Serengeti Boys kutembelea Sober House


Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys', Jumamosi tarehe 04 Machi, 2017, watatembelea Kituo cha vijana wanaopatiwa matibabu baada ya kuathirika na dawa za kulevya. Kituo hicho kinachoitwa Sob

Yanga yaipa kichapo kibaya komoro.


Mabingwa wa Tanzania bara Dar es Salaam Yanga Africans wamecheza mchezo wao wa kwanza wa round ya kwanza wa Club Bingwa barani Afrika ugenini dhidi ya N’gaya Club ya Comoro Jumapili ya February 12.Yanga wameanza vizuri mawindo yao ya ubingwa wa Afrika,

Japha aweka hadharani mikakati ya azam fc kuelekea michezo ya kimataifa


Klabu ya soka ya Azam imejipanga kuitumia michezo ya ligi kuu soka Tanzania bara pamoja na kombe la shirikisho Fa kama sehemu ya maandalizi kuelekea katika michezo ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Azam Fc itaanza kuchanga karata zake kati ya tarehe

Bondia mohamed matumla anafanyiwa upasuaji wa kichwa moi.


Bondia Mohamed Matumla anafanyiwa upasuaji wa kichwa muda huu baada ya ngumi aliyopigwa kuleta madhara kwenye kichwa chake na damu imevujia huku hali yake ikiwa nzuri Taarifa zilizotufikia ni kuwa Vipimo vya CT scan vimeonyesha kuvuja kwa damu na imejiku

Cameroon bingwa kombe la mataifa Afrika AFCON


Timu ya Taifa ya Cameroon imeibuka bingwa wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa kuifunga Misri bao 2 kwa moja.Bao la ushindi liliingizwa golini katika dakika ya 88.Misri ambayo ilikuwa imenuia kushinda mashindano hayo na kuweka rekodi ya mshindi ma

Nape Aipongeza Serengeti Boys Kwa Kufuzu Fainali Za AFCON Gabon 2017


Nape Aipongeza Serengeti Boys Kwa Kufuzu Fainali Za AFCON Gabon 2017

Mbwana Samatta aumia Genk ikipoteza mbele ya timu ya Oostende.


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta wa klabu ya KRC Genk amejikuta katika wakati mgumu usiku wa Jumanne hii wakati timu yake ya KRC Genk ilipokuwa ikicheza na KV Oostende katika mchezo wa kombe la Ubelgiji. Samatta aliumia katika d

Aliyekuwa kocha wa Taifa Star, Boniface Mkwasa atangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa Jumanne hii ametangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga. Mkwasa mwenye taaluma ya ukocha daraja la kwanza la CAF, amewahi kuzifundisha klabu mbalimbali ikiwemo Yanga kwa vipindi

Golikipa namba moja wa Kagera Sugar, afariki dunia.


Golikipa wa timu ya Kagera Sugar, David Abdalah Burhan ambaye pia amewahi kuchezea klabu mbalimbali za ligi kuu amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Mal

Yanga juu kwa kuilamba Mwadui FC 2-0.


Hatimae Yanga S.C. imefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara kwa kuifunga Mwadui FC goli mbili bila huku Ndanda FC akipoteza dhidi ya MajiMaji FC kwa goli moja bila. Yanga SC 2-0 Mwadui FC Ndanda 0-1 MajiMaji FC

Simba chalii dhidi ya Azam tena VPL.


SIMBA jana ilijiweka kwenye wakati mgumu wa kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Bara baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam. Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam, Simba ilihitaji ushindi au sare k

TFF yatoa majibu kuhusu rufaa ya Polisi kwa Simba SC


Coastal Union katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup 2015/2016 uliofanyika Uwanja wa Taifa, Aprili 11, mwaka jana. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetupilia mbali rufaa hiyo kwa kukosa vigezo vya kikanuni katika uwasilishaji wake na hi

Real Madrid yatupwa nje kombe la Copa Del Rey.


Klabu ya ligi ya La Liga Celta Vigo imefanikiwa kuwatoa viongozi wa ligi hiyo Real Madrid na kuingia katika nusu fainali ya kombe la Copa del Rey baada ya kutoka sare ya 2-2 na hivyobasi kufuzu kwa jumla ya mabao 4-3. Wenyeji Celta Vigo ndio waliokuwa wa

Ivory Coast yavuliwa ubingwa Afcon


Bingwa mtetezi wa michuano ya kombe la mataifa ya afrika tembo wa Africa Ivory Coast, wametupwa nje ya michuano ya mwaka huu baada ya kuchapwa kwa bao 1-0 na Simba wa Atlas Moroco Goli pekee liliowaondoa miamba hao wa soka wa Afrika mashindanoni lilifung

Manara aahidi kumtolea posa Wema Sepetu kama TFF wasipofanya hivi!


Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amelipa mtihani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuahidi kufanya maamuzi ya kumtolea posa Wema Sepetu endapo ratiba ya ligi kuu haitabadilishwa hadi mwisho wa msimu. Aidha msemaji amedai kama muigiz

Tevez akanusha kulipwa £615,000 ‘sio vyema kuwaambia watu kuhusu kipato chako’


Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Manchester city, Carlos Tevez amekanusha taarifa ambazo zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kusajiliwa kwake kwenda klabu ya Shanghai Shenhua ya China kutamfanya alipwe £615,000.Mshahara huo ungemfa

Uko hapa : Home -> top 30 michezo

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya February 23

Alichokiongea Ridhiwani Kikwete dhidi ya shutuma za kuwemo kwenye list ya dawa za kulevya.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya February 22

Freeman Mbowe aachiwa usiku wa manane

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 21

Rais Mugabe asherehekea kutimiza miaka 93

Kaka Wa Kiongozi Wa Korea Kaskazini Auawa Nchini Malaysia

Mshauri wa Donald Trump kuhusu usalama ajiuzulu

Viongozi wa madaktari Kenya wafungwa jela.

Machafuko yaendelea kutikisa Paris baada ya polisi kumdhalilisha Mwafrika

Nay wa Mitego adai anakuja na kanisa lake, 'si la biashara, ni la kumuabudu Mungu aliye hai'

Jokate alivyopagawa na kuomba picha baada ya kuwaona Jay Z na Beyonce Marekani

Mfanyabiashara na mmiliki wa Villa Park afariki kwa ajali mbaya ya gari.

Martin Kadinda adai RC Makonda hakukosea kumtaja Wema Sepetu kwenye list yake

Mose Iyobo amchana tena Harmorapa

Je wajua njia mbalimbali zilizotumiwa kuua wapinzani duniani?

yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani Februari 11.

Je ushawahi ona picha za gari la ajabu zaidi duniani!?

Leo katika historia:Eneo lenye baridi sana duniani lagunduliwa!

Je wajua picha za vijiji 15 vyenye mvuto zaidi duniani?

(3.31MB)Download Vanessa Mdee - DUASI.mp3

(3.10MB)Download Pam D - DAFFA.mp3

(3.75)Download Sam wa Ukweli - NAWAONA.mp3

(3.91)Download Lady JayDee fEAT Hamoba - KAMOBA.mp3

(2.66)Download Kigwema fEAT Bright - SALAMU.mp3

Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo